Prince Miniver
Prince Miniver
  • 66
  • 52 238

Відео

Rais wa Tanzania samia suhu asema huu ni mwaka wa kumekucha chadema wajipange
Переглядів 414 днів тому
Rais wa Tanzania samia suhu asema huu ni mwaka wa kumekucha chadema wajipange
professor palamagamba hotuba fupi ya hosia tujifunze kitu apa
Переглядів 521 день тому
professor palamagamba hotuba
RC SONG 2024 NEW UKONGA DSM NAMI NIMEZITUMAINIA Kwaya ya mt Maximilian dare es salaam
Переглядів 821 день тому
UKONGA DSM st mtakatifu
madereva wapewa onyo kali sana kuhusu ukimbizaji wa vyombo vya moto barabarani dare es salaam
Переглядів 421 день тому
madereva wapewa onyo kali kutoka kwa kiongozi
SENSEMA RAYVANNY X BADDEST 47 S2KIZZY (official music)
Переглядів 422 місяці тому
SENSEMA RAYVANNY X BADDEST 47 S2KIZZY (official music)
APPLE YAZINDUA TOLEO JIPYA 'IPHONE 15', 'INAUZWA MILIONI MBILI NA KUENDELEA, HAYA NDIO MAAJABU YAKE
Переглядів 111 місяців тому
#grateful #sex #sad #collage #onlyfans #sorella #editing #jazz #reels #newpost 1 #youtubeblack 158 374 2 #blackyoutuber 157 753 3 #youtubestar 157 520 4 #smallyoutubersupport 153 002 5 #youtubesubscribers 137 281 6 #youtubermirim 133 899 7 #jualviewyoutube 133 303 8 #smallyoutubers 130 666 9 #sub4subyoutube 122 852 10 #youtuber好きな人と繋がりたい 119 951 1 #love 1 813,899,807 2 #instagood 1 135,958,719 ...
MAAJABU: KIJANA MDOGO, ABUNI MFUMO WA KUWASHA TAA KWA KUTUMIA SIMU "UNATUMA SMS"Duration: 05:51 min
Переглядів 911 місяців тому
#grateful #sex #sad #collage #onlyfans #sorella #editing #jazz #reels #newpost 1 #youtubeblack 158 374 2 #blackyoutuber 157 753 3 #youtubestar 157 520 4 #smallyoutubersupport 153 002 5 #youtubesubscribers 137 281 6 #youtubermirim 133 899 7 #jualviewyoutube 133 303 8 #smallyoutubers 130 666 9 #sub4subyoutube 122 852 10 #youtuber好きな人と繋がりたい 119 951 1 #love 1 813,899,807 2 #instagood 1 135,958,719 ...
KUMAMAE AJALI YAKISENGEE HII MWENDOKASI YAUA DEREVA BODABODA, RC CHALAMILA AWAKA _MARUFUKU KUPITA
Переглядів 511 місяців тому
#grateful #sex #sad #collage #onlyfans #sorella #editing #jazz #reels #newpost 1 #youtubeblack 158 374 2 #blackyoutuber 157 753 3 #youtubestar 157 520 4 #smallyoutubersupport 153 002 5 #youtubesubscribers 137 281 6 #youtubermirim 133 899 7 #jualviewyoutube 133 303 8 #smallyoutubers 130 666 9 #sub4subyoutube 122 852 10 #youtuber好きな人と繋がりたい 119 951 1 #love 1 813,899,807 2 #instagood 1 135,958,719 ...
Askari na mbunge wa songwe na FFU kivumbiii uwanjani songwe sifaa za mulugo
Переглядів 6Рік тому
Askari na mbunge wa songwe na FFU kivumbiii uwanjani songwe sifaa za mulugo
SHULE BORA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI ST MARCUS SCHOOL 🎒#clamvevo
Переглядів 48Рік тому
#clamvevo #biggboss #bigboss
DAYOSISI YA KONDE MKOANI YA MKATAA ASIKOFU KUJIUZURI KUFANYA UDUMA YA KIDINI
Переглядів 18Рік тому
#patterndrawing #call #gold #harmonize #ibraah #millardayosports #morning #patterndrawing #millardayosports
DAYOSISI YA KONDE MKOANI MBEYA WACHUNGAJI WAANDAMANI KUMTAKA ASIKOFU KUJIUZURI KUFANYA UDUMA
Переглядів 701Рік тому
@ #millardayosports #patterndrawing #call #gold #harmonize #ibraah #morning
Jux feat Diamond platnumz Official video enjoy life
Переглядів 9Рік тому
Jux feat Diamond platnumz Official video enjoy life
WEMA WANGU_ DADA LUCY MWAIKONGE FT JOHN WILLIAM (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Переглядів 125Рік тому
@dadaznayRu @upendonkone @rosemuhandoofficial5676 #harmonize #ibraah #millardayosports #morning #patterndrawing #call #gold
Viongozi wasiyo juwa kuongea kingereza nivituko tuu
Переглядів 6Рік тому
Viongozi wasiyo juwa kuongea kingereza nivituko tuu
MTUMBA CLASSIC NUMBER 01 WEAR
Переглядів 4Рік тому
MTUMBA CLASSIC NUMBER 01 WEAR
BEST SEND OFF IN AFRICA WOMEN 2023/2024
Переглядів 7Рік тому
BEST SEND OFF IN AFRICA WOMEN 2023/2024
8 Ball Pool Mini Cheto Hack Free | 8 ball pool aim hack free 100% Safe Antiban Working on Android
Переглядів 261Рік тому
8 Ball Pool Mini Cheto Hack Free | 8 ball pool aim hack free 100% Safe Antiban Working on Android
DIAMOND AKAMILISHA AHADI YAKE, AMKABIDHI DIARRA MILIONI 10 ZA KITANZANIA ALIZOMUAHIDI
Переглядів 1Рік тому
DIAMOND AKAMILISHA AHADI YAKE, AMKABIDHI DIARRA MILIONI 10 ZA KITANZANIA ALIZOMUAHIDI
Men can't do what women do with Maria Mobile sexy
Переглядів 793Рік тому
Men can't do what women do with Maria Mobile sexy
Hairstyles 2023 female African Braids To wow this month treanding styles
Переглядів 3Рік тому
Hairstyles 2023 female African Braids To wow this month treanding styles
Toka maghetoni/Tafuta hela kijana/Tumejipata maneno aya niyaovyo kweli kweli
Переглядів 11Рік тому
Toka maghetoni/Tafuta hela kijana/Tumejipata maneno aya niyaovyo kweli kweli
JINSI YA KUOZESHA UDONGO WA DHAHABU/LOCAL PLANT MINING PROCESS STEGES
Переглядів 70Рік тому
JINSI YA KUOZESHA UDONGO WA DHAHABU/LOCAL PLANT MINING PROCESS STEGES
Best pattern 2023/2024
Переглядів 4Рік тому
Best pattern 2023/2024
Travis instrumental love dodo
Переглядів 2Рік тому
Travis instrumental love dodo
MTOTO WA MAGUFULI BAADA YA KUMPATIA TUZO MAMA JANETH MAGUFULI na RAIS SAMIA AKISALIMIANA
Переглядів 5Рік тому
MTOTO WA MAGUFULI BAADA YA KUMPATIA TUZO MAMA JANETH MAGUFULI na RAIS SAMIA AKISALIMIANA
VITUKO VYA RC CHALAMILA MBELE YA RAISI KARIAKOO
Переглядів 5Рік тому
VITUKO VYA RC CHALAMILA MBELE YA RAISI KARIAKOO
CHALAMILA (RC) MBELE YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU WATU - "MSIPIGE MAKOFI KWANZA"
Переглядів 3Рік тому
CHALAMILA (RC) MBELE YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU WATU - "MSIPIGE MAKOFI KWANZA"
MULUGO KUMBE NI NAIBU WAZIRI WA ELIMU TANZANIA /MULUGO ATOA ONYO KARI KWA WAZIRI MKUU
Переглядів 6Рік тому
MULUGO KUMBE NI NAIBU WAZIRI WA ELIMU TANZANIA /MULUGO ATOA ONYO KARI KWA WAZIRI MKUU

КОМЕНТАРІ

  • @PlasidiaRobert
    @PlasidiaRobert 9 місяців тому

    Napenda sana

  • @PlasidiaRobert
    @PlasidiaRobert 9 місяців тому

    Napenda sana

  • @Lunyapacha
    @Lunyapacha Рік тому

    Duuh bonge la funzo am blessed with this God bless you

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 Рік тому

    Mmmmh jamani jehanamu ya Moto IPO tutubu dhambI na kuacha MAANA tunadanganyana hapa duniani uzinzi umejaaa MAKANISANI na uongo masengenyo na uzushi KUJICHUBUA KUVAA mawigi tuache

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 роки тому

    Mimi ndio maana nilikimbia huko KKKT yaani wakavuuu! Hawana hata tone la Mungu, yaani huwa nawaangalia nachoka kabisa

  • @leonelnyilawila6489
    @leonelnyilawila6489 2 роки тому

    Hili ni kanisa na mbele naona msalaba wa Yesu aliye sulubiwaa na vituko vikisimuliwa

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 2 роки тому

    Mkitoka apo muende na kwa waganga wakienyeji maana Kristo hayupo hivi

  • @osianamwabuka2321
    @osianamwabuka2321 2 роки тому

    Hivi washirika mnamfukuza mchungaji , mna mamlaka gani jamani, tambua mbinu za shetani za kuwafanya watu wasiende mbinguni. Hatwendi mbinguni kwa nafasi ni kwa utakatifu, jamani Yesu anakuja atatukuta vipi wamama wamama, ingieni kwenye maombi, sio kuwa mashabiki kumsaidia shetani aliyeanya mkakati wa Vita hivi

  • @simonsteven862
    @simonsteven862 2 роки тому

    Madhabahu Gani hiyoooo ni ya Mungu gani ?????

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 2 роки тому

    Huyu Mwaikali si aende kyela anakosupportiwa!!!!

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 роки тому

    Toko nianze kusomama kwangu biblia sijawai kukuta sehem ya walio wapinga watumisi wa mungu au wapakwa mafuta wa mungu wakafanikiwa ata ukimpnga kiongozi wako tuu mahali pa kazi huwezi kufanikiwa jiandaeni kuvuna mnacho panda kuna wengine wakezao watawakataa wangine waumezao watawapa taraka watoto wao kufukuzwa shule

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 роки тому

    Palipo na hela hapakosi magomvi

  • @tusekilemwamkinga1209
    @tusekilemwamkinga1209 2 роки тому

    Nyie wachungaji au wapiga dili?kupatwa kwa dini

  • @tusekilemwamkinga1209
    @tusekilemwamkinga1209 2 роки тому

    Wanyakyusa mna maneno mnataka muongozwe na Nani?mnalipeleka wapi kanisa nachoka Bora niwe mpagani nyie sio rubbish pastor

  • @kelvinmwalisu9740
    @kelvinmwalisu9740 2 роки тому

    Jamani nyie vyombo vya habari, fikisheni haya kwa hawa watu mnaotuma taarifa zao. Kama wanaamini wana Mungu na wana haki katika hayo wanayosema, warudi madhabahuni waombe sana na Mungu awarehemu.

  • @japhetpeter6123
    @japhetpeter6123 3 роки тому

    Ukosefu wa Nidhamu tu

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 3 роки тому

    Mwaikali ajiuzuru Kama vipi Mbeya waanzishe dayosisi yao

  • @danstaninyasimassawe4542
    @danstaninyasimassawe4542 3 роки тому

    Dumisheni amani na upendo

  • @wemambonge2948
    @wemambonge2948 3 роки тому

    Sisi wanakonde tuko nyuma yenu na Mungu at u shi ndie yule bwana asiiyemjua yusuph ajiuzuru tuu

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 3 роки тому

    Na watu wamekosa maarifa ya ki Mungu wanashangilia tu huu ujinga.Tiini wapakwa mafuta wa Bwana

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson 3 роки тому

    Acheni ujinga na upumbavu wa kidunia ninyi. Eti munapigania kuhama huu si ujinga tu. Yaani povu linawatoka eti kwasababu ya kuhama. Kwanza hamna adabu kama viongozi wa kanisa. Yaani Lutherani bhana ndio maana wengine tumeacha kusali.

  • @lwihurazakayo3864
    @lwihurazakayo3864 3 роки тому

    Tambueni Kanisa la Mungu la Konde limevamiwa na adui Shetani!Tusimame tuombe!

  • @sissoalfred7259
    @sissoalfred7259 3 роки тому

    shida ya hapo nlioona ni kwamba mabadiliko hampendi ... Je historia ya kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine mnaifaham au historia ya jinsi ilivyo anza mwaifahamu ....? Alafu mnaelewa shida ya Ukabila kweli nyie kweli Msije kua mnatenda dhambi Bure .... Mungu awatangulie ila hili litakuja kua shida mbeleni Mjitathimini sana katika Yote msemayo Msije mkawa nyie ni wasaliti 😊😊😊

  • @ombeniluka170
    @ombeniluka170 3 роки тому

    Kanisa la Mungu huburini injili acheni commedy

  • @ombeniluka170
    @ombeniluka170 3 роки тому

    Jaman tumrudie Mungu

  • @samuelngogo5572
    @samuelngogo5572 3 роки тому

    Hawaa wakina mwa mwa ni shida uovu mwingine hamuoni sio🙈🙈

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 3 роки тому

    Wanyakyusa ubinafsi unawasumbua sana! Kitu kdg ivo mnafanya upuuzi ivo

  • @kennedymwakanema1696
    @kennedymwakanema1696 3 роки тому

    Daaaaa ni mambo magumu sanaaa haya Mungu simama na hili

  • @tumainirkyando8128
    @tumainirkyando8128 3 роки тому

    KANISA LETU LUTHERAN TUNATIA AIBU SANA KILA SIKU MIGOGORO ? NI AIBU KUBWA SANA

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 3 роки тому

    Kanisa la kkkt linaenda kupoteza mwelekeo wa kumcha Mungu wanapambana kimwili sana

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 3 роки тому

    Tunalipeleka wapi kanisa watu wa MUNGU? Tunapata faida gani tunapokuwa tunalumbana?

  • @faithkarema7422
    @faithkarema7422 3 роки тому

    Tafuteni mungu kwa bidiii kila kitu kina sababu

  • @jackobosabore3853
    @jackobosabore3853 3 роки тому

    Daaa zab133:1_3

  • @marthamwaisumo7912
    @marthamwaisumo7912 3 роки тому

    Yani kuhamisha dayosisi ndo muache waumini wakiyumba yumba dah mnaitaji muokoke

  • @georgeswaiswai4581
    @georgeswaiswai4581 3 роки тому

    Da hatari makanisa,hayana picha yakristo kabisa,mungu msaidie Martin Luther

  • @andersonfungo9443
    @andersonfungo9443 3 роки тому

    0

  • @janethchriss6039
    @janethchriss6039 3 роки тому

    Mungu awarehemu kwa kweli Msimuliaji nae kama yuko kijiwen vile jaman hii hatari xanaa mungu awakumbuke

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 роки тому

    Migogoro kanisani tafsiri yake ni kwamba shetani anatawala,nashangaa huyu jamaa anatoa habari kama sifa vile,na waumini wanafurahia badala ya kusikitika na kuomba,jamani Upendo wa Mungu upo wapi?

    • @haggaikinyau9047
      @haggaikinyau9047 3 роки тому

      Kweli shetani amempiga mchungaji kondoo wametawanyika na sasa mbwa mwitu anawala kama atakavyo. Jamaa anaongea utafikiri wamefanya kitu kizuri

    • @anangisyemwakabuku5026
      @anangisyemwakabuku5026 3 роки тому

      Wewe!! Askofu mwenyewe ni JINAMIZI lisilojali maisha ya kiroho linaangalia na kushupalia kujimbikizia Mali ya kanisa halafu we we unataka liheshimiwe?

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 3 роки тому

    Kanisa L KRISTO tumelogwa wapi., pesa, tamaa ya madaraka, ubinafsi, vimeharibu Kanisa la KRISTO na kupoteza mwelekeo wote, Eeeeh KRISTO MWANA wa MUNGU Shuka uchukue Kanisa lako tu

  • @dannyessau3869
    @dannyessau3869 3 роки тому

    Tupo pamoja wazee wangu mfalme sauli aliambiwa hakusikia ufalme wake umeisha isha tunamsubili daud tamaa zmemjaaa hana hata neno alisha jijua aendako mchungaji wa mshahara hafai mwaikali

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 роки тому

    Kwnn mnapenda malumbano na magonvi makamisani mwenu? Ibilisi amewashika kweli kweli

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 роки тому

    Aibu mnamuaibisha sana kristo mtalipa hakika

    • @tusekilemwamkinga1209
      @tusekilemwamkinga1209 2 роки тому

      Kkkt sio Wana tamaa ya madaraka duu mnalipeleka wapikanisa?mnataka askofu awe mwakihaba huyo ndo chanzo Cha ugomvi

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 роки тому

    Mungu awatetee sana mlio amua kusimamia kweli.amelaaniwa mtu yule anaemtumainia mwanadamu

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 роки тому

    Mabadiliko kkkt ni muhimu sana.wokovu wa baridi wanatafuta pesa badala ya kutunza wana wa Mungu

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 роки тому

    Mabadiliko kkkt ni muhimu sana.wokovu wa baridi wanatafuta pesa badala ya kutunza wana wa Mungu

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 3 роки тому

    Kumbe Mwaikali hafai msaka tonge ( Hongera sana mjomba yangu Mwakihaba kwa maamuzi yako ya kijasili)

  • @homeland4447
    @homeland4447 3 роки тому

    Kwa msio ijua dayosisi mnabweka tu!!, Mnaijua hata mirad ya dayosisi ya konde nyie mnao chat humu. Fuatilia miradi ya dayosisi ya konde utagundua imekufa yote, uliza kwa Nini,Tena Ni tangu alipochaguliwa kuwa askofu mirad haiendelei

    • @dicksonjohn4141
      @dicksonjohn4141 3 роки тому

      Hakuna, miradi imeanza kufa wakati wa Askofu Mwakyolile!!

  • @homeland4447
    @homeland4447 3 роки тому

    Mh!! Kumbe msaidiz wa askofu no mwingine?

  • @homeland4447
    @homeland4447 3 роки тому

    Samahan Kama nitawaaudhi, Mim niliona tu, nilipokutana nae Mara ya kwanza, nikajua na kutambua kuwa, Huyu askofu yupo kwa ajili ya Kipato, roho wa Mungu hayumo ndani yake.

  • @jennipherjoseph7426
    @jennipherjoseph7426 3 роки тому

    Mung awasameheee kwa kweriiiiii